HISTORIA
YA TAMKA
Tanzania Mjini Kazi,
kwa kifupi inaitwa “TAMKA”, ni Asasi
ya kiraia na kijamii yenye malengo na madhumuni ya kujipatia na kuhamasisha
maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Manispaa ya Morogoro, Nchini kote na hata Duniani kwa
ujumla.
Hii ni kwa maana ya
maendeleo endelevu katika sekta na Nyanja mbalimbali za uchumi – jamii.
Asasi hii imeanzishwa
na wanachama waanzilishi wapatao kumi na mbili (12) ambao majina yao ni; Daudi S. Mnadi, Paulo P. Masenga, Paulo Katete,
Paulo C. Mponji, Heri Mfaume, Francis Kiwele, Seif Kinyongoni, Elias S.
Msyokege, Nassor A. Ndege, Chabi Kavona, Neema I. Asombwile na Lilian D.
Dalumu.
Asasi hii imeanzishwa
rasmi mnamo tarehe 17/02/2013 ambapo
ilitunga na kuandika katiba pamoja na kuainisha mfumo wake wa uongozi na
utawala.
Asasi hii haihusiani
wala haijihusishi, kwa namna na maana yoyote ile na; Dini, Siasa, Rangi,
Jinsia, Jambo au mlengo wowote waitikadi unaofanana na mambo hayo yaliyotajwa
hapo juu.
Asasi hii kwa sasa ipo ndani ya manispaa ya Morogoro
na makao makuu yake ni mtaa wa Kihonda Mbuyuni na kata ya Mafisa.
Hadi sasa, “TAMKA”
imeshakabidhiwa katiba na Hati ya Usajili toka kwa Msajili wa Vyama, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Dar es salaam.
Hati ya Usajili ni Namba S.A. 18938 chini ya [CAP.
337 R.E. 2002], tarehe 30/08/2013.
In english
Tanzania Mjini Kazi simply called "TAMKA” is civil and social organizations with the goals and
purposes of acquiring and promoting economic
and social development in Morogoro Municipality,
across the country and even the world at
large.
This is the meaning of sustainable development in various fields of industry and economy - society.
This organization was established by the founding members about twelve (12) whose names are: David S. Mnadi, Paulo P. Masenga, Paulo Katete, Paulo C. Mponji, Heri Mfaume, Francis Kiwele, Seif Kinyongoni, Elias S. Msyokege, Nassor A. Ndege Chabi Kavona, Neema I. Asombwile and Lilian D. Salumu.
This organization was established officially on date 02/17/2013 which enacted a constitution-writing as well as identifying its system of administration and governance.
This organization does not involve in any of the: Religion, Politics, race, gender, or focus anything similar ideology and those things mentioned above.
This organization currently exists within Morogoro municipality and its headquarters is Mbuyuni Kihonda local and county offices.
Until now, TAMKA’s constitution has already been delivered and Certificate of Registration from the Registrar of Societies, the Ministry of Domestic Affairs, in Dar es Salaam.
Certificate of Registration is Number S.A. 18938 under [CAP. 337 R.E. 2002], dated 30.08.2013.
Thanks in advance.
No comments:
Post a Comment