VISION OF INSTITUTIONS
Due to changes to economic development and social members together to create and set up institutions to support and facilitate problem solving economic and social self-employed and hire, promote, defend and protect the interests of citizens in the fields, industry and multifunctional service agriculture, livestock, trade, the environment for development and poverty alleviation among members, other beneficiaries, stakeholders, different ethnic groups of both sexes and classes contained therein women, men, children, youth, the elderly, prisoners, bodied and disabled .
Kwa Kiswahili
DIRA
YA ASASI
Kutokana na
mabadiliko na maendeleo ya kiuchumi na kijamii, wanachama kwa pamoja tumeamua
kuunda na kuanzisha Asasi ili kusaisia na kuwezesha kutatua matatizo ya
kiuchumi nakijamii kwa kujiajiri na kuajiru, kuhamasisha, kutetea na kulinda
maslahi ya raia katika Nyanja, sekta na shughuli na kazi mbalimbali za huduma,
kilimo, ufugaji, biashara, mazingira kwa ajili ya kuleta maendeleo na kuondoa
umasikini miongoni mwa wanachama, walengwa wengine, wadau, makundi mbalimbali
ya kijamioi wa jinsia zot na tabaka zilizomo ndani yake; wanawake, wanaume,
watoto, vijana, wazee, wafungwa, wazima na walemavu
THANKS AHSANTE
No comments:
Post a Comment