GOALS AND OBJECTIVES OF INSTITUTIONS
To achieve the vision and direction of the organization following goals and objectives: -
· Provide public education on drugs (Drug Abuse), the problem of corruption (Anti Corruption), volunteers (Volunteering) and AIDS (Anti - AIDS).
· Environmental education, agriculture operations, farms, animal husbandry, aquaculture, bees, etc.
· Raising and caring for children, the elderly, orphans and vulnerable living and complex.
· Develop SACCOS and VICOBA for empowering citizens and members of the community in development.
· Develop multi -scale commercial projects, small industries, such as mining, tourism, transportation to the country’s development.
· Engaging and operations across agency of tariffs, taxes, payroll etc.
MALENGO NA MADHUMUNI YA
ASASI
·
Kutoa elimu
kwa jamii juu ya madawa ya kulevya (Drug
Abuse), tatizo la rushwa (Anti Corruption), kujitolea (Volunteering) na UKIMWI (Anti
– AIDS).
·
Elimu ya
mazingira, Shughuli za kilimo, mashamba, ufugaji wanyama, ufugaji samaki, nyuki
n.k.
·
Kulea na
kuwatunza watoto, wazee, yatima na wanaoishi mazingira hatarishi na magumu.
·
Kuanzisha SACCOS na VICOBA kwa ajili ya
kuwawezesha wananchi na wanachama katika kuleta maendeleo ya jamii.
·
Kuanzisha
miradi mbalimbali midogo ya kibiashara, viwanda vidogovidogo,kama vile madini,
utalii, usafirishaji ili kuleta maendeleo ya nchi.
·
Kujishughulisha
na shughuli za uwakala wa kukatisha ushuru, kodi mbalimbali, malipo n.k.
t Thanks Ahsante
t
No comments:
Post a Comment