Mision

Upgrading to promote its members, the public by providing a range of services in a competitive environment to enable the citizen, member eliminate poverty, respected and recognized in the community and his dignity in work and its place in public in the value of his personality are eligible.

An organization will not involve in any, religious beliefs of any kind, will remain a development organization for the benefit of members of the population as a whole, as customers and partners who are the beneficiaries.
Institutions will be able to set up small projects for various other activities mix, as well as being able to own property, buildings, land, equipment, movable and immovable.

In accordance with the laws of the United Republic of Tanzania, organizations will be able to prosecute and conviction, the rights and obligations as a society.









Kiswahili
Kuinua na kuendeleza wanachama wake, wananchi kwa kutoa huduma mbalimbali na katika mazingira ya ushindani ya kumwezesha mwananchi, mwanachama kuondokana na umasikini, kuheshimika na kutambulika katika jamii na utu wake katika kufanya kazi na nafasi yake kwa umma kwa thamani ya utu wake stahiki.

Asasi haitajihusisha na shughuli za kiasa, kidini, itikadi ya aina yoyote. Itabaki kuwa Asasi yenye maendeleo kwa manufaa ya wanachama wa watu wote kwa ujumla, kama wateja na wadau ambao ndiyo walengwa.

Asasi itakuwa na uwezo wa kuanzisha miradi midogo midogo kwa shughuli nyinginezo mbalimbali mchanganyiko, pamoja na kuwa na uwezo wa kumiliki mali, majengo, ardhi, vifaa, zana zinazohamishika na zisizohamishika.

Kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Asasi itakuwa na uwezo wa kushitaki na kushitakiwa, haki na wajibu kama Asasi.

 Ahsante 

No comments: