Viongozi wa Tanzania Mjini Kazi walipokuwa kwenye mkutano na Waandishi wa habari Midland Hotel katika hatua za kuitangaza Asasi hiyo kwa wakazi wote wa Morogoro na taifa kwa ujumla.
Katika mkutano huo Mwenyekiti wa Asasi hiyo alisistiza ushirikiano banina ya Asasi na alisema kuwa, Asasi yake iko tayari kushirikiana na Asasi zingine katika kuleta maendeleo na kuwezesha vijana kujiarili na kuajiriwa.
Waandishi wa habari
Wajumbe wa Asasi
Mkuu wa Idara ya Ujasiliamali katika Asasi
Mkuu wa Idara ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya
Mkuu wa Idara ya Kuzuia na Kpambana na Dawa za kulevya (kushoto akiwa na mjumbe wa Asasi hyo kulia)
Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Asasi
No comments:
Post a Comment