TANZANIA MJINI KAZI
“TAMKA”
Tanzania Mjini Kazi simply called "TAMKA”
is civil and social organization with the goals and purposes of acquiring and
promoting economic and social development in Morogoro Municipality, across the
country and even the world at large.
This is the meaning of sustainable development in various fields of industry and economy - society.
This organization was established by the founding members about twelve (12) whose names are: David S. Mnadi, Paulo P. Masenga, Paulo Katete, Paulo C. Mponji, Heri Mfaume, Francis Kiwele, Seif Kinyongoni, Elias S. Msyokege, Nassor A. Ndege Chabi Kavona, Neema I. Asombwile and Lilian D. Salumu.
This organization was established officially on date 02/17/2013 which enacted a constitution-writing as well as identifying its system of administration and governance.
This organization does not involve in any of the: Religion, Politics, race, gender, or focus anything similar ideology and those things mentioned above.
This organization currently exists within Morogoro municipality and its headquarters is Mbuyuni Kihonda local and county offices.
Until now, TAMKA’s constitution has already been delivered and Certificate of Registration from the Registrar of Societies, the Ministry of Domestic Affairs, in Dar es Salaam.
Certificate of Registration is Number S.A. 18938 under [CAP. 337 R.E. 2002], dated 30.08.2013.
Kwa
kiswahili
Tanzania Mjini
Kazi, kwa kifupi inaitwa “TAMKA”, ni
Asasi ya kiraia na kijamii yenye malengo na madhumuni ya kujipatia na
kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Manispaa ya Morogoro,
Nchini kote na hata Duniani kwa ujumla.
Hii ni kwa maana
ya maendeleo endelevu katika sekta na Nyanja mbalimbali za uchumi – jamii.
Asasi hii
imeanzishwa na wanachama waanzilishi wapatao kumi na mbili (12) ambao majina
yao ni; Daudi S. Mnadi, Paulo P.
Masenga, Paulo Katete, Paulo C. Mponji, Heri Mfaume, Francis Kiwele, Seif
Kinyongoni, Elias S. Msyokege, Nassor A. Ndege, Chabi Kavona, Neema I.
Asombwile na Lilian D. Dalumu.
Asasi hii
imeanzishwa rasmi mnamo tarehe 17/02/2013
ambapo ilitunga na kuandika katiba pamoja na kuainisha mfumo wake wa uongozi na
utawala.
Asasi hii
haihusiani wala haijihusishi, kwa namna na maana yoyote ile na; Dini, Siasa,
Rangi, Jinsia, Jambo au mlengo wowote waitikadi unaofanana na mambo hayo
yaliyotajwa hapo juu.
Asasi hii kwa sasa
ipo ndani ya manispaa ya Morogoro na makao makuu yake ni mtaa wa Kihonda
Mbuyuni na kata ya Mafisa.
Hadi sasa, “TAMKA” imeshakabidhiwa katiba na Hati
ya Usajili toka kwa Msajili wa Vyama, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dar es
salaam.
Hati ya Usajili ni
Namba S.A. 18938 chini ya [CAP. 337 R.E. 2002], tarehe 30/08/2013.
Thanks Ahsante
No comments:
Post a Comment