Friday, 13 December 2013

SIKU YA MAADILI YA KITAIFA

Viongozi wa Tanzania Mjini Kazi waliposhiriki katika mjadala wa siku ya kitaifa ya maadili, ulioandaliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).







 KAMANDA MKUU WA TAKUKURU(M) MOROGORO,Kulia akisisitiza jambo wakati wa mjadala.
 Mkuu wa Idara ya kuzuia na kupambana na rushwa      
(Otto Matandula) akifuatilia mjadala





Saturday, 30 November 2013

Drug abuse control


    In order to achieve the objectives of the department and the organization as a whole, heads of department in conjunction with the administration we ask for the support of state and property in order to facilitate the construction of housing victims of drugs is achieved by providing education to the community.





    Head of the department of prevention and fight against illegal drugs when he went to visit the location of the construction of special housing victims of drugs and make observations about the presence of developers or users of these drugs in rural areas.

      The journey, general had an opportunity to talk to some of the users of some of these drugs as they use marijuana etc.




















Tuesday, 19 November 2013

Mkutano wa viongozi wa TAMKA na waandishi wa habari.

Mwenyekiti wa Asasi (Tanzania Mjini Kazi) akitoa historia fupi ya Asasi hiyo kwa waandishi wa habari (kulia) pamoja na kutambulisha wajumbe wa Asasi na Wakuu wa Idara zinazopatikana katika Asasi hiyo.

Katika kutambulisha Asasi hiyo Mwenyekiti huyo (Daud Salum) alisema kuwa ,Asasi ina idara kuu tano ambapo alizibainisha na kueleza kazi za kila idara.
Hatua hiyo ilienda sambamba na kuwatangaza wataalamu au wakuu wa idara ambao anasema wataalamu hao wamejiandaa katioka nyanja zote na wako tayari kufanya kazi na Asasi ili kufanikisha malengo ya Asasi.
Idara hizo:- Idara ya Rushwa na Madawa ya kulevya, Idara ya Kilimo na Mifugo, Idara ya Mazingira, Idara ya UjasiliamaliIdara ya Uwezeshaji pamoja na Idara inayohusika na kutoa elimu juu ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

 Pia Katibu Mkuu wa Asasi hiyo Ndugu Paulo Masenga(kushoto) alipata fursa ya kusisitiza mambo ya msingi na mikakati ya Asasi hiyo katika kuleta maendeleo kwa jamii na kufanya Morogoro kuwa Jiji
Waandishi wa habari walipokuwa wanasikiliza Hotuba za viongozi wa Asasi katika viwanja vya Midland Hotel

Sunday, 17 November 2013

Organizational leaders and delegates issued a statement to reporters about Saturday 11, 2013.
chairman of the organization was emphasizing cooperation between government institutions and to convey the message as an organization.
Add caption


Friday, 4 October 2013

TAMKA



HISTORIA YA TAMKA

Tanzania Mjini Kazi, kwa kifupi inaitwa “TAMKA”, ni Asasi ya kiraia na kijamii yenye malengo na madhumuni ya kujipatia na kuhamasisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Manispaa  ya Morogoro, Nchini kote na hata Duniani kwa ujumla.

Hii ni kwa maana ya maendeleo endelevu katika sekta na Nyanja mbalimbali za uchumi – jamii.
Asasi hii imeanzishwa na wanachama waanzilishi wapatao kumi na mbili (12) ambao majina yao ni; Daudi S. Mnadi, Paulo P. Masenga, Paulo Katete, Paulo C. Mponji, Heri Mfaume, Francis Kiwele, Seif Kinyongoni, Elias S. Msyokege, Nassor A. Ndege, Chabi Kavona, Neema I. Asombwile na Lilian D. Dalumu.

Asasi hii imeanzishwa rasmi mnamo tarehe 17/02/2013 ambapo ilitunga na kuandika katiba pamoja na kuainisha mfumo wake wa uongozi na utawala.

Asasi hii haihusiani wala haijihusishi, kwa namna na maana yoyote ile na; Dini, Siasa, Rangi, Jinsia, Jambo au mlengo wowote waitikadi unaofanana na mambo hayo yaliyotajwa hapo juu.
Asasi hii kwa sasa ipo ndani ya manispaa ya Morogoro na makao makuu yake ni mtaa wa Kihonda Mbuyuni na kata ya Mafisa.

Hadi sasa, “TAMKA” imeshakabidhiwa katiba na Hati ya Usajili toka kwa Msajili wa Vyama, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dar es salaam.
Hati ya Usajili ni Namba S.A. 18938 chini ya [CAP. 337 R.E. 2002], tarehe 30/08/2013.



 In english


Tanzania Mjini Kazi simply called "TAMKA” is civil and social organizations with the goals and purposes of acquiring and promoting economic and social development in Morogoro Municipality, across the country and even the world at large.

This is the meaning of sustainable development in various fields of industry and economy - society.
This organization was established by the founding members about twelve (12) whose names are: David S. Mnadi, Paulo P. Masenga, Paulo Katete, Paulo C. Mponji, Heri  Mfaume, Francis Kiwele, Seif Kinyongoni, Elias S. Msyokege, Nassor A. Ndege  Chabi Kavona, Neema I. Asombwile and Lilian D. Salumu.

This organization was established officially on date 02/17/2013 which enacted a constitution-writing as well as identifying its system of administration and governance.

This organization does not involve in any of the: Religion, Politics, race, gender, or focus anything similar ideology and those things mentioned above.

This organization currently exists within Morogoro municipality and its headquarters is Mbuyuni Kihonda local and county offices.

Until now, TAMKA’s constitution has already been delivered and Certificate of Registration from the Registrar of Societies, the Ministry of Domestic Affairs, in Dar es Salaam.
Certificate of Registration is Number S.A. 18938 under [CAP. 337 R.E. 2002], dated 30.08.2013.

Thanks in advance.